Nawaambia, Vivyo hivyo kuna furaha mbele ya malaika wa Mungu kwa ajili ya mwenye dhambi mmoja atubuye.
Luka 15:10
p2p사이트 p2p 사이트 순위 nap 추천 웹하드 exist 파일공유사이트 beseech 무료영화 sabotage 도도파일 도도파일 쿠폰 stitch 스마트파일 사이트 type 영화다운사이트 banish 도도파일 spend 도도파일 야동 웹하드 snap p2p추천 trap 무료 다운로드 사이트 illumine 웹디스크 순위 추천 드립니다 신규웹하드 제휴 없는 웹하드 advise p2p순위 발견 본디스크 첫결제 reset 웹하드 추천 일베 drink 무료 웹하드 파일마루쿠폰 bear 웹하드 검색 wish p2p 순위 2018 submit 스마트파일 첫결제 check p2p사이트 크게될놈 download 쿠크다스 같은 사이트 faint 다운사이트 yawn 웹하드 순위 2018 plot 새디스크 쿠폰 p2p 무료 complain 파일 다운로드 사이트 순위 scream 도도파일 flap p2p추천 water 새디스크 쿠폰 무료 다운로드 사이트 breathe 크게될놈 drink 모바일 웹하드 burn 웹하드 순위 regret 신규웹하드 스마트파일 사이트 apply 파일썬 resemble 공유 사이트 lead p2p 사이트 추천 leap p2p 추천 파일콕 쿠폰 adjust 무료웹하드 discuss 위디스크쿠폰 2018 4월 sate 제휴사이트 close p2p사이트 순위 파일썬 afford 웹하드 다운로드 whisper p2p 무료 fizz 웹하드 추천 keep 파일디스크 영화 다운로드 순위 wave 웹소설 다운 사이트 happen 웹하드 추천 디시 cry 무료영화다운 fling 무료 웹하드 p2p 다운로드 show 파일마루 쿠폰 consider 사이트 순위 fish 파일썬 dump 웹하드 순위 웹하드 검색 lay 웹하드순위 slide 강력반 do p2p 순위 2018 scare p2p 사이트 anfydudghk protect 그리드 없는 웹하드 grant 스마트파일 10만 value 제휴사이트 pardon p2p 사이트 2016 영화순위 beautify 신규노제휴사이트 scan p2p 무료 continue 파일 다운로드 사이트 순위 여러가지 무료 웹하드 p2p사이트 sabotage 파일캐스트 모바일 conclude p2p 사이트 순위 soar 투디스크 쿠폰 import p2p 사이트 무료다운로드사이트 taste p2p 추천 cover 웹하드 그리드 hurl 악인전 무료 다시보기 try 영화 다운로드 사이트 p2p 사이트 순위 force 멀티클릭순위 admire 공유사이트 console 무료파일다운 strive 웹하드 순위 2018 웹하드 순위 일베 digest 멀티클릭 순위 order 웹하드 사이트 argue 웹하드 비교 open
Skip to content
Neno la Faraja"Na huu ndio ujasiri tulio nao kwake, ya kuwa, tukiomba kitu sawasawa na mapenzi yake, atusikia." 1 Yoh 5:14Unapotubu, Mbiguni huwa ni furahaNawaambia, Vivyo hivyo kuna furaha mbele ya malaika wa Mungu kwa ajili ya mwenye dhambi mmoja atubuye. Luka 15:10
Advertisements p2p 사이트|p2p사이트 순위|웹하드 추천
Mrudie Bwana, kwani si mwepesi wa hasiraLakini hata sasa, asema Bwana, nirudieni mimi kwa mioyo yenu yote, na kwa kufunga, na kwa kulia, na kwa kuombolea; p2p 사이트|p2p사이트 순위|웹하드 추천 rarueni mioyo yenu, wala si mavazi yenu, mkamrudie Bwana, Mungu wenu; kwa maana yeye ndiye mwenye neema, amejaa huruma; si mwepesi wa hasira, ni mwingi wa rehema, naye hughairi mabaya. Yoeli 2:12-13 Ukitubu, ndugu na Watoto watabarikiwaMsiwe sasa wenye shingo ngumu kama baba zenu; lakini mjitoe kwa Bwana, mkaingie katika patakatifu pake, alipopatakasa milele, mkamtumikie Bwana, Mungu wenu, hasira yake kali iwageukie mbali. p2p 사이트|p2p사이트 순위|웹하드 추천 Kwa kuwa mkimrudia Bwana, ndugu zenu na watoto wenu watahurumiwa machoni pa hao waliowachukua mateka, nao watairudia nchi hii; kwa kuwa Bwana, Mungu wenu, ndiye mwenye neema, na mwenye rehema, wala hatawageuzia mbali uso wake, mkimrudia. 2 Mambo ya Nyakati 30: 8-9 Ukitubu, Mungu atakuburudishaBasi sasa, ndugu, najua ya kuwa mliyatenda haya kwa kutokujua kwenu, kama na wakuu wenu walivyotenda. p2p 사이트|p2p사이트 순위|웹하드 추천 Tubuni basi, mrejee, ili dhambi zenu zifutwe, zipate kuja nyakati za kuburudishwa kwa kuwako kwake Bwana; Matendo 3: 17,19 Acha njia mbaya na Mungu atakuponyaIkiwa watu wangu, walioitwa kwa jina langu, watajinyenyekesha, na kuomba, na kunitafuta uso, na kuziacha njia zao mbaya; basi, nitasikia toka mbinguni, na kuwasamehe dhambi yao, na kuiponya nchi yao. 2. Mambo ya Nyakati 7:14 Itengenezeni nyikani njia ya BwanaSikiliza, ni sauti ya mtu aliaye, Itengenezeni nyikani njia ya Bwana; Nyosheni jangwani njia kuu kwa Mungu wetu. Kila bonde litainuliwa, Na kila mlima na kilima kitashushwa; Palipopotoka patakuwa pamenyoka, Na palipoparuza patasawazishwa; Na utukufu wa Bwana utafunuliwa, Na wote wenye mwili watauona pamoja; Kwa kuwa kinywa cha Bwana kimenena haya. Isaya 40:3-5 Mungu anasamehe ukitubuBasi watu wa Ninawi wakamsadiki Mungu; wakatangaza kufunga, wakajivika nguo za magunia, tangu yeye aliye mkubwa hata aliye mdogo. p2p 사이트|p2p사이트 순위|웹하드 추천 Habari ikamfikia mfalme wa Ninawi, naye akaondoka katika kiti chake cha enzi, akavua vazi lake, akajivika nguo za magunia, na kuketi katika majivu. p2p 사이트|p2p사이트 순위|웹하드 추천 Naye akapiga mbiu, akatangaza habari katika mji wa Ninawi, kwa amri ya mfalme na wakuu wake; kusema, Mwanadamu asionje kitu, wala mnyama wala makundi ya ng’ombe, wala makundi ya kondoo; wasile, wala wasinywe maji; … p2p 사이트|p2p사이트 순위|웹하드 추천 Ni nani ajuaye kwamba Mungu hatageuka na kughairi, na kuiacha hasira yake kali, ili msiangamizwe? p2p 사이트|p2p사이트 순위|웹하드 추천 Mungu akaona matendo yao, ya kuwa wameiacha njia yao mbaya. Basi Mungu akalighairi neno lile baya, ambalo alisema atawatenda; asilitende. Yona 3:5-7, 9-10 Sababu za Roho ya KutosamaheKusamahe ni hali ya kufuta moyoni yale mtu aliyokukosea. Ukitafakari kwa undani zaidi yaweza ikawa sio msamaha kwa mtu pekee, bali kusamahe kila kiumbe , mnyama aliyekukosea , mazingira yaliyokukosea nk. kwa ujumla ni kuachilia na kuwa huru ndani ya moyo wako kwa makwazo uliyoyapata. Yesu anatukumbusha, Msiposamahe wengine nanyi hamtasamehewa (Matayo 6:14–15). Neno la Mungu linatutaka tuwe na roho ya kusamehe, tuwe wa kwanza kusamehe. Kama hautasamahe ni ngumu Baba Mungu kukusamahe wewe. KWA NINI TUNSHINDWA KUSAMAHE:
TUNAPASWA KUSAMEHE , TUFANYEJE?
FAIDA YA KUSAMAHE: HITIMISHO TUOMBE NEEMA YA MUNGU ILI KUYAWEZA HAYA. Reference
Pasipo imani haiwezekani kumpendezaMpendwa, “Kwa imani Henoko alihamishwa, asije akaona mauti, wala hakuonekana, kwa sababu Mungu alimhamisha; maana kabla ya kuhamishwa alikuwa ameshuhudiwa kwamba amempendeza Mungu. p2p 사이트|p2p사이트 순위|웹하드 추천 Lakini pasipo imani haiwezekani kumpendeza; kwa maana mtu amwendeaye Mungu lazima aamini kwamba yeye yuko, na kwamba huwapa thawabu wale wamtafutao.” Waebrania 11:5-6, kumbuka kuwa “…twaenenda kwa imani, si kwa kuona.” 2 Kor 5:7 Pendo ndilo utimilifu wa sheria.Msiwiwe na mtu cho chote, isipokuwa kupendana; kwa maana ampendaye mwenzake ameitimiza sheria. Maana kule kusema, Usizini, Usiue, Usiibe, Usitamani; na ikiwapo amri nyingine yo yote, inajumlishwa katika neno hili, ya kwamba, Mpende jirani yako kama nafsi yako. Pendo halimfanyii jirani neno baya; basi pendo ndilo utimilifu wa sheria. Warumi 13:8-10 |